Void ab initio
JF-Expert Member
- Mar 1, 2015
- 5,739
- 5,703
Bomb
Betpawa wajinga.. Mechi ya Hatayspor wameitoa, ilikuwa na pesa ya uhakika.
kuwithdrawImeingia kutoa au kuweka?
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanakwepa kipigo, kipigo kiko palepale.Betpawa wajinga.. Mechi ya Hatayspor wameitoa, ilikuwa na pesa ya uhakika.
Yap imekubali ila kutoka safari com kuja voda mpesa ndio inasuasua haijaingia badokuwithdraw
Nshaogopa, nisije pigwa mimi.. wana figisu mbaya sana, muda huu sioni mechi ya kuweka laki tatu yangu ila kwa Hatayspor nilikuwa nimpe direct winWanakwepa kipigo, kipigo kiko palepale.
Pole mwanangu mtafutaji hachoki
*real is not real fake is not fake*
Ulifanya haraka sana ,ungeenda taratibu ungeweza kuitoa ,mbona bitcoin inatoa hela japo lazima ufaidishe na wengineNikweli nilihangaika sana na nililiweka tatizo langu hapa mezani, baadhi ya wadau walinishauri nitumie skrill, nakajisajili nikakuta mpaka akaunti yake itumike lazima uiverify kwa furushi la document, mara sijui upige selfie umeshikilia kitambulisho ama pasport, mara bank statement, nikajaribu lakini nilifika sehemu nikakata tamaa ni hiyo fedha niliyoishinda nikaichukia nikafanya kama yule jamaa wa kitabu cha " the pearl" aliyekuwa na shida lukuki akabahatika kuvua samaki ndani yake akakuta lulu ya dhamani kubwa basi jamaa aliandamwa na mikosi hadi akairudisha ile lulu kuitupa baharini alikuipatia. Niliamua kucheza milioni milioni kwenye option zisizowezekana hadi zikaisha halafu nika uninstal app ya 1xbet. Bora nicheze hizi zenye ofisi hapa bongo zenye option chache na ngumu potelea mbali ukishinda u na uhakika wa hela yako bila kuhangaika
ni kweli aise hata mmYap imekubali ila kutoka safari com kuja voda mpesa ndio inasuasua haijaingia bado
Sent using Jamii Forums mobile app
IPO tena ina asilimia kubwa kutokea HT.
Ndio hivyo bosi watu wengine hatuna subira!!! imetoka siwezi kurudisha nyumaUlifanya haraka sana ,ungeenda taratibu ungeweza kuitoa ,mbona bitcoin inatoa hela japo lazima ufaidishe na wengine
Sent using Jamii Forums mobile app
Line inafanya kazi tz nzima. Unatuma pesa kutoka M-Pesa tz unaipeleka M-Pesa Kenya then unaipandisha 1xbet. Rahisi sana. Kuna watu humu nimewauzia line za Safaricom lakini hawataki kuja kuwaambia wenzao jinsi ilivyo rahisi.Hiyo line ukiwa bongo inafanya kazi?
Na kutoa hela unafanyaje au unaituma tena vodacom
[emoji2398]troublemaker 2019. all right received.