Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Yeah nami pia nimedeposit 1xbet toka jana usiku mpaka sasa haijasoma.Nimewacheki wanasema kuna tatizo la ufundi.Natumia line ya safaricom

Sent using Jamii Forums mobile app
Network imerudi, kwa sasa unadeposit na kuwithdraw, walikuwa wanabadili mfumo. Nenda kabonyeze kitufe cha Top Up kwenye account yako ya 1xbet utaona mabadiliko pale.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Easy.......Money Laundering[emoji180]
IMG_20190403_205843_076.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
NILISEMA PICK 1-2-3
MAXB
SUBIRIA CHELSEA UKANYWE SUPU
Screenshot_20190403-211152.png
 
Wadau nmeshindwa kubet leo Meridian matako kuna balance kule afu network ya kidwanzi kati sio weekend,

ila nimeizea platform yao options kibao.
Site gani nyinyine nzuri? ila sitaki pari match, mkeka, supabet, na zingine zote za kidwanzi.
 
Line inafanya kazi tz nzima. Unatuma pesa kutoka M-Pesa tz unaipeleka M-Pesa Kenya then unaipandisha 1xbet. Rahisi sana. Kuna watu humu nimewauzia line za Safaricom lakini hawataki kuja kuwaambia wenzao jinsi ilivyo rahisi.

Wengine wanalalamika bei ni kubwa Mara Usafiri gharama, laiti mngejua mchakato wa kuitoa Kenya ulivyo mgumu msingeongea maneni ya kejeli.

Betting njema wadau tukutane kwenye play offs za NBA.

Sent using Jamii Forums mobile app
Daah yaani niwe na line zingine mbili? Poa itabidi nitafte na simu kabisa

[emoji2398]troublemaker 2019. all right reserved.
 
Huu mchezo wa betting nahisi umeharibu sehemu fulani ya kichwa changu. Leo nimefukuzwa kazi yaani hata sijashituka mpaka mtoa taarifa anashangaa. Nadhani zile LOST za dakika ya 89 zinatuponya magonjwa ya presha kiasi kwamba hata ukilipukiwa na bomu la tani 2 unaweza kupona kabisa.
😛😛😝😝😝 Nimecheka vibaya sana kifua kinauma loh! Yani kama ulikuwa unaishi kwenye akili yangu
 
Back
Top Bottom