Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Wakati tunasubiri game ya mnyama
Tunadunduliza taratibu
Screenshot_2019-04-06-15-00-01-1.jpeg
Screenshot_2019-04-06-14-59-49-1.jpeg
 
Hizi odd zingine zina shawishi
Mtu anaongoza na ana odd 3+
Ukimpa win na draw inakuaje!?
Screenshot_2019-04-06-15-04-35-1.jpeg
 
Barca 1x
Roma Over 1.5/GG
Newyork City 1x
Celtic 1x
Newcastle 2H Over 0.5
Genk 1x/Over 1.5
Mansfield 1x
Bayern 1x/Over 1.5
Bayern Leverkusen Over 1.5

Hizi pia tunaweza jaribu,chagua hapo and STAKE WISELY
 
Back
Top Bottom