Noma sana aisee
Mm huwa wananifurahisha HT wanaitendea haki.
Sahihi kabisa mkuu.
Naamini hawezi kipiga goli sita kwasababu hayuko kwenye kiwango bora msimu huu. Akishinda sana itakuwa bao tatu bila.al ahly Cairo wataweza kupiga goli sita nyumbani though ni ngumu kiasi
Sent using Jamii Forums mobile app
Ila simba ime improve, you never know anaweza fanya maajabu...Sahihi kabisa mkuu.
Angalia Al Ahly amekalia tano, simba atakalia ngapi kwenye lile vumbi la Kongo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ila simba ime improve, you never know anaweza fanya maajabu...
Ila ahyl ndio kwaheri...
Sent using Jamii Forums mobile app
amini tu mzee kitu cha Hamsa
Tusubir wiki mbili zijazo.Ila simba ime improve, you never know anaweza fanya maajabu...
Ila ahyl ndio kwaheri...
Sent using Jamii Forums mobile app