Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Presha ilikuwa inapanda inashuka! Sitarudia tena kumuweka Madrid kwenye mikeka yangu, hawa jamaa wanafeli sana!
 
Kumanini zenu valencia tangu january hamjafungwa na juzi mmepiga madrid bingwa wa kihistoria wa uefa afu leo mnapigwa na hicho kibonge hakijashinda tangu february kumanina zenu hata double chance mmeshindwa mamaee zenu[emoji35][emoji35][emoji35][emoji35]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna odd Leo zilikuwa za wazi kabsaa Kama ya crystal palace na Frankfurt yaani nimechi zilikuwa nje Ni kabsaa crysray alikiwa na 3 na Frankfurt alikuwa na 2 yaan ilikuwa n odd ya 6+ ya uhakika kabsaa

Hizi application za kutabir huwa zinanikoseshaga pesa mara nyingi Sana . Hakuna ktu kizur Kama kuchambua tmu peke yako yaan n nzur Sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…