Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Bas tena
Screenshot_20190406-204419.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Betting itabaki kuwa ni bahati tu. Hakuna cha option yenye uafadhari.
Hawa jamaa wa BetsWall sijui wanachaguaje timu mpk wanashinda.

Ona huyu kaweka timu shazi na katusua, sisi unaweka timu 3,4 lkn bado ni mgogoro.
View attachment 1064518

Sent using Jamii Forums mobile app
Hawa watu mida mingine huwa wana edit tu mikeka ili kuvutia watu katika apps au sites zao
 
Wazee mimi leo nltumiwa fixed nkadharau zikatoa
IMG_3342.JPG



Sent from my iPhone 5s using JamiiForums mobile App
 
Back
Top Bottom