Buddy
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 7,117
- 8,885
Duuh ... uwekezaji. BiG up sana kwao.Sijui tunakwama wapi asee
Angalizo sio mikeka yangu msije nifata pm nimikeka za mtaalamu wa basket mwingine football
Sent using Jamii Forums mobile app
Duuh ... uwekezaji. BiG up sana kwao.Sijui tunakwama wapi asee
Angalizo sio mikeka yangu msije nifata pm nimikeka za mtaalamu wa basket mwingine football
Huwa wanapost kabla????Betting itabaki kuwa ni bahati tu. Hakuna cha option yenye uafadhari.
Hawa jamaa wa BetsWall sijui wanachaguaje timu mpk wanashinda.
Ona huyu kaweka timu shazi na katusua, sisi unaweka timu 3,4 lkn bado ni mgogoro.
View attachment 1064518
Sent using Jamii Forums mobile app
Ajax / 2-6 goals
Wolfsburg
Juve 1x
Norwich 1x / Over 1.5
Groningen /1x
Heracles 1x
Galatasaray 1x
Real Madrid 2-6 Goals/over 1.5
Manchester City
Lyon
Hull city over 1.5
Mi nimetoka Hivi mkuu hebu tujaribu,chagua zinazokufaa hapo
Hatuna nafuu hakyanani ... kwa hiyo Valencia una uwezo wa kumpiga Real Madrid lkn Rayo Vallecano unashindwa hats Double Chance !!! halafu check form ya Rayo sasa ... hv hapo hata km utakesha unafanya uchambuzi ... duuh.
View attachment 1064504
Sent using Jamii Forums mobile app[/ [emoji485]🤣🤣🤣🤣 huo ndo utamu wa direct win na double chance
Sent from my iPhone using JamiiForums
Kaka naomba nielekeze namna ya kudeposit betpawa kwenye namba ya kampuni na namba ya malipo ndio nakwama hapoJana nlibahatisha haka kamkeka BetsWall ... wamebaki hao wajerumani katoboe?! ...
View attachment 1064690
Sent using Jamii Forums mobile app
Amekufanya nnLyon alaaniwe maisha yake yoote na viodds vyake vya kijinga.
Nampa ban ya milele.
Sure, binafsi huwa nachambua mwenyeweHizi application za kutabir huwa zinanikoseshaga pesa mara nyingi Sana . Hakuna ktu kizur Kama kuchambua tmu peke yako yaan n nzur Sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijui tunakwama wapi asee
Angalizo sio mikeka yangu msije nifata pm nimikeka za mtaalamu wa basket mwingine football
Yes, always ! mikeka ya kutosha ... unachagua mwenyewe tu. Yani ni kama bufee "buffet" unajisevia tu