avogadro
JF-Expert Member
- Apr 30, 2013
- 8,848
- 15,949
Premierbet na yenyewe imekuwa tabu....... wakuu kama kuna mtu amekutana na hii changamoto ya kutoa fedha premier baada ya haya maboresho mapya na jinsi gani alivyolitatua anisaidie. Sasa tutakwenda wapi kama hii kazi ishakuwa ngumu hivi kutoa pesa?




