Hili kombe inaonekana hanaga kipaumbele nalo.
Valencia kawekwa la pili
Valencia wamecheza soka bovu sana kama yanga vs ndandaHatuna nafuu hakyanani ... kwa hiyo Valencia una uwezo wa kumpiga Real Madrid lkn Rayo Vallecano unashindwa hats Double Chance !!! halafu check form ya Rayo sasa ... hv hapo hata km utakesha unafanya uchambuzi ... duuh.
View attachment 1064504
Sent using Jamii Forums mobile app
Hajala chochote nilimpa mkeka mmoja valencia double chance afu mwingine valencia apigwe kwa ajili ya ku recover sema wa double chance ndo ulikuwa na mpunga mrefu na alibaki yeye tu nijenge ghorofa.
Hili kombe inaonekana hanaga kipaumbele nalo.
Wanaangalia uefa hawaweki wachezi wote wakali. Hakuna tmu uingereza inatoa magoli mengi Kama man cityMan city over 1.5 imemshinda na mbwembwe zote za goli dakika ya 4[emoji16][emoji16][emoji16]hapo ndio unajua betting sio poa
Sent using Jamii Forums mobile app
UKITAKA ujue nachosema Ni kweli subir uone toternham watakachofanywa uefa na Man cityMan city over 1.5 imemshinda na mbwembwe zote za goli dakika ya 4[emoji16][emoji16][emoji16]hapo ndio unajua betting sio poa
Sent using Jamii Forums mobile app
Man city over 1.5 imemshinda na mbwembwe zote za goli dakika ya 4[emoji16][emoji16][emoji16]hapo ndio unajua betting sio poa
Sent using Jamii Forums mobile app
Anapambana na uefa hili la uingereza Hana wasi wasi nalo maana n la kwake tu