Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mnatutisha tunaotaka kujiunga 1xbet
Kuna hatari gani hebu fungukeni
Hakuna gharama kujiunga lakini kama ujuavyo kamari ni kamari tu ,usiamini sana kuweka mapesa yako kwenye makampuni haya ya nje au ya ndani lolote laweza kutokea.
Kama unavyojihisi pesa yako ikiliwa na wao pia huhisi hivyo wakati umekula pesa yao.
Ndio maana inashauriwa ukipata pesa yako kidogo itoe huko bakiza kidogo kwa ajili ya kesho.
Ukila pesa nyingi kuipata huwa inachukua mlolongo mkubwa sana na ndio maana umeona watu kuweka comment hizo apo juu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…