upendodaima
JF-Expert Member
- May 23, 2013
- 4,089
- 4,535
Won,asante Hazard..
Won,asante Hazard..
Hakika kabisa mpira ulikuwa wazi kabisaKuacha odd 4.2 za over 1.5 wakat goli la Kwanza lilifungwa first half Tena dakika 24 n kosa kibwa Sana nlijua tu lazma itoe hii ngoma na ndo maana nkaweka kwa uhakika
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaa,tayari mkuu burungutu lishasoma.
Okey kumbe n pesa ya Kenya umeweka . Safi sana.nlijua n 250 ya kitanzania
Duuhmkuu unapozungumzia fix sio watu tu. hao wenyewe wenye kampuni ndio wanaleta huo mchezo ili wapige hela. wanaangalia nani anaaminiwa sana then wanatuzunguka
Duuh
Hapa una maanisha bookies wananunua mechi labda psg afungwe? Kwakuwa wengi watampa psg?
Wengine wansema matajiri ndio wananua ili wapige pesa kwa bookies
Mkuu kila mtu amini anavyo ona yeye