Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

mkuu unapozungumzia fix sio watu tu. hao wenyewe wenye kampuni ndio wanaleta huo mchezo ili wapige hela. wanaangalia nani anaaminiwa sana then wanatuzunguka
Duuh

Hapa una maanisha bookies wananunua mechi labda psg afungwe? Kwakuwa wengi watampa psg?

Wengine wansema matajiri ndio wananua ili wapige pesa kwa bookies

Mkuu kila mtu amini anavyo ona yeye
 
Bookmakers mkuu hasa ndio wanaofix.

We fikiria ni wangapi waliiamini psg na wakatia mzigo.

Harafu fixing unaweza usiione moja kwa moja ila huanzia kwa kocha, anaweka mipango ambayo anajua fika hapa hatuto toboa.
Duuh

Hapa una maanisha bookies wananunua mechi labda psg afungwe? Kwakuwa wengi watampa psg?

Wengine wansema matajiri ndio wananua ili wapige pesa kwa bookies

Mkuu kila mtu amini anavyo ona yeye

Mti wenye matunda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…