Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hata mm Nina uhakika asilimia Mia kuw hata iweje Man city lazma ashinde Hakuna tmu yenye forward Kali Kama Man city uingereza nzima ,wanashambulia Kama nyuki, Tena kwa roho mbaya mpe first half betting iwe imeisha

Sent using Jamii Forums mobile app
Na hapa ndo football inapoonekanaga tofauti..Somtymz tunapoiangalia kwa nje inaweza pia ikaleta matokeo tofauti na hisia zetu
Ngoja nimjaribu hivi
Spurs Handcape 2:0

Sent using Jamii Forums mobile app
 
KUNA ALIEUDHIKA
MESSI TO SCORE Two GOALS MORROW MAXB WIFE
 
Nataka nisuke mkeka wa game mbili mara 5 kwa options tofauti odd kuanzia 5 au 4 ili nikipata walau mmoja nirudishe stake yangu
 
Farsley Celtic v Stafford Rangers GG @1.91
Workington v South Shield AWAY @1.50
Odd 2.87
 
Liv to score first
tottu to score first
bolton to score first
sunderland to score first

all d best
 
Nadhani umeshindwa kuelewa nilichokiongea, Iyo ya PSG nimesena ni "MFANO" sabab ktk iyo game PSG had nothing cha kupoteza

Swala la upangaji wa matokeo au matukio katika michezo ya kamali lipo, Umesahau yule bonge aliyekula andazi?Ujui kua kuna baadhi ya wachezaji wanachunguzwaga pindi wakihisiwa eg, Daniel Sturridge wa Liverpool. Je umesahau kina Juve walishushwa daraja sabab ya kupanga matokeo. Hivi unajua ligi ya Turkey ina kashfa zipi?

My Point is kupangwa matokeo au matukio kupo, watu wanapanga mpaka worldcup ichezwe wapi aisee, ISHU NINAYOKAZIA NI KWAMBA HIZO MNAZOAMBIWA FIXED MATCHES SI KWELI, Ni wizi tu ila hii aimaanishi kua eti hakuna upangaji matokeo au hata matukio katika soka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…