Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Pia hata Scotland wana hizi skendo
Nadhani umeshindwa kuelewa nilichokiongea, Iyo ya PSG nimesena ni "MFANO" sabab ktk iyo game PSG had nothing cha kupoteza

Swala la upangaji wa matokeo au matukio katika michezo ya kamali lipo, Umesahau yule bonge aliyekula andazi?Ujui kua kuna baadhi ya wachezaji wanachunguzwaga pindi wakihisiwa eg, Daniel Sturridge wa Liverpool. Je umesahau kina Juve walishushwa daraja sabab ya kupanga matokeo. Hivi unajua ligi ya Turkey ina kashfa zipi?

My Point is kupangwa matokeo au matukio kupo, watu wanapanga mpaka worldcup ichezwe wapi aisee, ISHU NINAYOKAZIA NI KWAMBA HIZO MNAZOAMBIWA FIXED MATCHES SI KWELI, Ni wizi tu ila hii aimaanishi kua eti hakuna upangaji matokeo au hata matukio katika soka

Mti wenye matunda.
 
Hela ya chap weka hela nyingi kula hela nyingi.. 1xbet bestView attachment 1067241

Sent using Jamii Forums mobile app
Je unajua elfu tatu ya kenya ni shs ngapi??,[emoji23]
20190409_230606.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkeka huu Nisha malizana na akina tot vs man c

Namsubiri liverpool
Screenshot_2019-04-09-23-19-07-1.jpeg
 
Yaani leo akili yangu ilikataa kabisa Man city kushinda
Sija mpa win hata moja kati ya mikeka yangu 11
 
Back
Top Bottom