Mayu
JF-Expert Member
- May 11, 2010
- 8,686
- 14,373
Mkuu hawa jamaa hawana app?Parimatch wameweka game ya Yanga... Vipi hapa tunaingiaje?View attachment 1068535
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawa jamaa ni the best sio siri kwa sasa odds zao kwanza ziko juu saana. Na kutoa Na kuweka mkwanja ni within minutes na pia wanaweka game kibao hadi game za amateur wanatupia.customer care ndio hata upige usiku wa manane wanapokea na wanakutatulia shida yako fasta tu!Mkuu hawa jamaa hawana app?
Vipi options zao zina nafuu kuliko betpawa
Na vp kuhusu deposit na withdraw hawasumbui?
Nimewapenda nataka niwahame betpawa
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaleta ubishi wa Simba na Yanga mkuunyumbani wapi? yanga siku hizi anamiliki uwanja wake
Wapo vizuri; pia wana betting stations.Mkuu hawa jamaa hawana app?
Vipi options zao zina nafuu kuliko betpawa
Na vp kuhusu deposit na withdraw hawasumbui?
Nimewapenda nataka niwahame betpawa
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu wana website mbadala "lite version"Wapo vizuri; pia wana betting stations.
Ila hawana app.
Kubet kwa website kunakata MB balsa!!!
Tuma link mkuuMkuu wana website mbadala "lite version"
Haitafuni sana mb na ipo smooth na fasta hata kama utatumia 2g
Hii inatufaa sie tunao poteleaga maporini kwenye net hafifu
Sent using Jamii Forums mobile app
AnywayTuma link mkuu
Shukrani mkuu vip wanakata kodi kama kawa!!! Vip kuhusu bonasi zao mkuu!! Natanguliza shukraniDuuu
Mkuu acha uvivu bana
Hata kugoogle hujuiAnyway
Parimatch
parimatch.co.tz
Bofya Lite mobile
Mwanzo hutailewa lakini ukiitumia utaizoea
Haina complications kama betpawa ila sio user friendly View attachment 1068667
Sent using Jamii Forums mobile app
Za leo mkuu nisafirie hii nyotaCONGS
ODDS 25 BOOOOOOOM YESTD
MAIN VIP TICKET
Germany
Duisburg – FC Koln
Tip 2 @ 1.44[emoji777]
England
Rotherham – Aston Villa
Tip Over 1.5 @ 1.25[emoji736][emoji736]
Norway
Brann – Kristiansund
Tip 1 @ 1.61[emoji736][emoji736]
England
Norwich- Reading
Tip 1 & Over2.5 @ 1.80 [emoji777]
_______________
BONUS TICKET
England
Birmingham vs Sheffield Utd
Tip 2DNB @1.55 [emoji736][emoji736]
Switzerland
FC Luzern vs BSC Young Boys
Tip Over 2.5 @ 1.55 [emoji736][emoji736]
Latvia
Valmiera - RFS
Tip 2 @ 1.68[emoji736][emoji736]
Slovenia
Krsko Posavje vs Maribor
Tip 2 @ 1.32[emoji736][emoji736]
________________
Slovenia
Domzale vs Triglav
Tip [email protected][emoji736][emoji736]
AFC
Guangzhou Evergrande vs Melbourne Victory
Tip [email protected][emoji736][emoji736]
England
Brentford vs Ipswich
Tip [email protected][emoji736][emoji736]
Norway
Molde vs Valerenga
Tip [email protected][emoji736][emoji736]View attachment 1068402View attachment 1068403
Tuchangie mpwaaa
Hawana kodi. Tax ndio bonusShukrani mkuu vip wanakata kodi kama kawa!!! Vip kuhusu bonasi zao mkuu!! Natanguliza shukrani