Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mkuu hawa jamaa hawana app?
Vipi options zao zina nafuu kuliko betpawa
Na vp kuhusu deposit na withdraw hawasumbui?

Nimewapenda nataka niwahame betpawa

Sent using Jamii Forums mobile app
Hawa jamaa ni the best sio siri kwa sasa odds zao kwanza ziko juu saana. Na kutoa Na kuweka mkwanja ni within minutes na pia wanaweka game kibao hadi game za amateur wanatupia.customer care ndio hata upige usiku wa manane wanapokea na wanakutatulia shida yako fasta tu!

Game ambazo huwezi kuzipata betpawa wao wanazo isipokuwa website yao sio user friendly na ya kuvutia kama betpawa ilivyo.

Ila mimi nishawahama betpawa Niko na hawa jamaa nawizia niwapige hela siku moja ambayo hawataamini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Za leo mkuu nisafirie hii nyota

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…