Void ab initio
JF-Expert Member
- Mar 1, 2015
- 5,739
- 5,703
Iko nzuri, hili ni Bomu kweli manaake EPL hata 90+ wanaweza piga goli mbili.
Iko nzuri, hili ni Bomu kweli manaake EPL hata 90+ wanaweza piga goli mbili.
Mapema tu
Hongera mkuu, tungejua ungeweka Over 3.5 kama nilivyosema simba atakufa sio chini ya goli tatu.Unevuta kama 1.8m to 2mMkongwe nishamalizana nao hao, sasa hspo ni kuwaombea simba wasawazishe! Deal doneView attachment 1070559
Sent using Jamii Forums mobile app
Aiseee
Mkeka wa Barca..Juve...everton yani ushararuka mapema sana..Nashukuru niliyaweka pamojaa...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Al ahaly anaka mauno tu uwanja wanyumbani
Hajui watu tumejidhamini huku
Sent using Jamii Forums mobile app
AiseeeMechi ya Man U over 0.5 HT