Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Chelsea kwenye magoli huwa namuhofia hakawii kushinda 1
team anayo cheza nayo ikiwa away takwim zina onesha hua niwazuri wana wastani wakufunga goal 3 kweny mechi zaidi ya 11

ivo ukicheza direct win kwa chelsea sawa
lakin kama hutaki presha weka 2+
 
shukrani mkuu kweli walifungana magoli ya kutosha na sevilla
 
Ndanda v Azam hapo utabiri vipi
Pita hivi
Screenshot_2019-04-18-14-39-02.jpg
 
Mkuu huu ni mtegk NAPOLU alicheza mpira mbovu sanaa game ya kwanza sion akitoka leo labda miujiza itokee
Waache waingie kwenye huo mtego, watakuja kulia hapa! Mechi ya Valencia pia haijakaa poa sana, wale Villareal pamoja na kufungwa mechi ya kwanza wale jamaa bado ni watu wanapiga mpira mwingi lolote linaweza kutokea, nimewapa both to score!
 
sasa si utoe possible tu mkuu kuliko kusema tu hivyo, umeshaona kuna mtego sema kinachotakiwa kufanyika
 
Back
Top Bottom