Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Odds 3 izo
Screenshot_2019-04-21-10-43-18.jpeg
 
Mkuu parmatch mbona wanazingua kutoa hela na nimedraw toka saa 6 usiku

Wameniambia nitume kitambulisho nimetuma masaa manne sasa bila bila

Nnauliza wanasema procedures za kawaida

Imekukuta hii mkuu?

Hawajui leo pasaka
Kwa mara ya kwanza wanazingua kidogo ila baada ya hapo fasta tu mzigo umeingia...Kuwa na subira mzigo utaingia
 
[emoji736][emoji736][emoji736][emoji736][emoji736][emoji736][emoji736][emoji736][emoji736][emoji736][emoji736][emoji736][emoji736][emoji736][emoji736][emoji736][emoji736][emoji736][emoji736][emoji736][emoji736][emoji736][emoji736][emoji736][emoji736][emoji736][emoji736][emoji736][emoji736][emoji736][emoji736][emoji736][emoji736][emoji736][emoji736][emoji736]View attachment 1077305
Dah! Kuzima data hii imeniponza aisee
 
Mkuu ogopa sana iyo Game, Cardiff yuko home na nadhani akifungwa leo anashuka daraja. Hii sio game ya ku risky stake kubwa kama iyo.
sidhani kama liverpool wanaweza kuwa wapuuzi kiasi hicho. but kwa tahadhari yako ngoja niiache
 
HEARTHA WIN either half
Koln either half win
Aek Athens win
OLYMPIAKOS win and over 2.5
Liverpool win and over 2.5
Arsenal win and over 1.5
Slavia win and over 2.5
Sparta win and over 2.5
Celtic win
STAKE ALL MONEY YOU HAVE IN YOUR KIBUBU
 
Back
Top Bottom