Habar zenu wazee wasio na likizo Na mizogo yenu
Ndugu Mm si mtaalamu wa Kubeti ila nawakumbusha tu baada ya kusoma Apps mbali mbali za kubeti katika comment zao,
Nimegundua Kuna ndugu zangu, Kaka zangu na marafiki Ambao wanakata taaabu sana katika suala ili imefikia hatua mpaka kununua Ticket kupitia hizo Apps, matokeo yake wameuziwa ticket Fake,
Hasa kutoka Kenya
Angalizo
USINUNUE TIKETI YA KUBETI KUTOKA KENYA, UTATAPELIWA MPAKA UNINGIA KABURINI
Baada ya hayo Machache, Tembelea Google play store, chukua apps hizi hapa
1.Glory betting tips
2.Peak betting tips
3.Bet tips
4.Bet number tips
HAKIKA YA KAMARI NI MATENDO YA SHETANI