Ndio ivyo mkuu maisha ni risky tu, hata hii betting yenyewe una risky pesa yako so ni ngoma drawYeah nimeagiza inakuja
Ingawa na yenyewe ina risk zake
Wewe jamaa una akili sana.. binafsi hii imekuwa therapy kwangu, nikipigwa narefresh mind kwanza then naingia mzigoni na matokeo yanakuwa mazuri.[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13] Poleee bet for funny uki_lose acha kubet katembee tembee u_refresh akili kisha bet tena siku nyingine.
Mkuu 1xbet achaga tu sijui hii safarikom naipatajeSuperbet wanaudhi kodi
Hata hivyo hawasogei kwa 1xbet kwa options
Dah Mkuu ulikua na courage sana, uyu Wolves kwa big Six huwa hapotezi, nadhani alifungwa na Liverpool tuNimempa Arsenal win
Hatoboi mkuuNimempa Arsenal win
Wakuu nataka nijilipue wikiend hii
..nirekebishe wapi...maoni yenu tafadhaliView attachment 1080251View attachment 1080252
Katoboa mkuuBayern peke yake anaharibu show ya leo daaah.....sjui km atashinda hii game[emoji22]
Duuuh afadhali aseeeh ilibidi nizime data kwanzaKatoboa mkuu
Nichambulie za uhakika hapo bosiDa mkuu cheza option zingine kama magoli direct win mechi 2 mkeka habari take kisha