Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mambo ya 1xbet siku hizi ni kimya kimya, maana wachawi hawachelewi kublock
 
Wazee wenzangu mbona playmaster Kuna mchezo unaitwa keno haiko active kwenye app yangu? Au shda nini
 
Wazee wenzangu mbona playmaster Kuna mchezo unaitwa keno haiko active kwenye app yangu? Au shda nini
Mzee unachezaga hiyo kitu? We kweli kiraka..sijawahi kuielewa naona Namba Namba tu..
 
Mzee unachezaga hiyo kitu? We kweli kiraka..sijawahi kuielewa naona Namba Namba tu..
Kuna muda ukizidiwa unaitafuta mkuu. Inatakiwa ujue kla ktu mkuu Mambo n mengi kina muda football inazingua mpaka basi
 
Real Sociedad v Villareal
Mikel Oyarzbal to score goal any time-NO
Odds 1.425
Getafe vs Real Madrid
Getafe Handicap 2-0
Odds 1.33

Total Odds 1.895
 
Sevilla vs Rayo Vallecano
Andre Silver to score a goal at any time-No
Odds 1.79
Real Sociedad v Villareal
Real Sociedad Handcap 2:0
Odds 1.165

Odds 2.08
 
Back
Top Bottom