Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Kazikazi wazee, Leo nasema na hawa jamaa.
IMG_20190426_093508_888.JPG
 
daaah hawa jamaa sometimes wana boa apa kwenye option ndo wame maliza wenyewe
Screenshot_2019-04-26-09-42-51.jpeg
 
Kiongozi una deposit vipi mzigo?
Uki click iyo my bux itakupa maelezo ya ku deposit na utajaza taarifa zako na pia utatumiwa sms mpesa yenye maelezo jinsi ya kununua iyo vocha sasa ukisha maliza kulipia watakutumia namba za vocha kwenye Email ambazo utajaza sehemu ya vocha ,,kudeposit ni kuanzia 1500. Kutoa ni kuanzia 3500 ila kutoa sijaifuatilia nijue inakuaje
 
Kiongozi tunakusoma

Makubwa? mfano umedeposit 10k wanakata sh ngapi?
Nahisi makato yao ni karibu 20+%, ambayo ni tofauti na ile ya makato ya malipo kwa mtandao husika...

Yaani mybux wana% yao ambayo ni kama 20+%
Na mtandao husika wana% yao
 
HOPE WE ENJIOYED YESTD
CHANGIA TUENDELE KUMLA MHINDI
WHATSUP +255713458722
CS.HT.FT PLAY SINGLE ALWAYS
IMG_20190426_105844_525.jpg
 
Attachments

  • Screenshot_20190426-105932.png
    Screenshot_20190426-105932.png
    22.4 KB · Views: 47
  • Screenshot_20190426-105953.png
    Screenshot_20190426-105953.png
    23.5 KB · Views: 31
  • Screenshot_20190426-105757.png
    Screenshot_20190426-105757.png
    51.1 KB · Views: 49
  • Screenshot_20190426-105803.png
    Screenshot_20190426-105803.png
    49.4 KB · Views: 54
Wakuu msaada: anyetumia app ya meridian anisaidie jinsi ya kujiunga kweli sijawah sumbuliwa na app Kama hii duh unareset password waliyokupa wao bado ukiweka wanakuambia your act not active sjui nifanyaje
 
Back
Top Bottom