Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Uki click iyo my bux itakupa maelezo ya ku deposit na utajaza taarifa zako na pia utatumiwa sms mpesa yenye maelezo jinsi ya kununua iyo vocha sasa ukisha maliza kulipia watakutumia namba za vocha kwenye Email ambazo utajaza sehemu ya vocha ,,kudeposit ni kuanzia 1500. Kutoa ni kuanzia 3500 ila kutoa sijaifuatilia nijue inakuaje
Kutoa unaingia withdraw kuna taarifa utajaza baada ya hapo utatumiwa namba ya voucher kwenye email yako na kuna link ya cash out hapohapo utaclick na kumalizia muamala
 
Tufuatane chamber, Maana shida kubwa Tz wanoko wengi, wakiona hii habari ya xbet hawachelewi kufanya mambo kuwa magumu...

Tupeane taarifa taratibu
 
Hivi humu n kwamba hamna anayetumia meridian betting au ?mbona nmeomba msaada Sana lakn sipati majibu?nataka nicheze KENO sasa meridian kujiunga n ishu
 
Hivi humu n kwamba hamna anayetumia meridian betting au ?mbona nmeomba msaada Sana lakn sipati majibu?nataka nicheze KENO sasa meridian kujiunga n ishu
Mkuu Meridian ni vimeo hakuna mfano
Biashara ya online hawapo siriazi nayo wao macho yako kwenye maduka yao tu

1xbet kwa keno nimewavulia kofia
Wako gudi kinoma
Nachezaga sana tu
 
Mkuu Meridian ni vimeo hakuna mfano
Biashara ya online hawapo siriazi nayo wao macho yako kwenye maduka yao tu

1xbet kwa keno nimewavulia kofia
Wako gudi kinoma
Nachezaga sana tu
Si kweli meridian wako vizuri siku hizi mi natumia app yao na sijaona ratio mpaka sasa ilikuwa zamani sana
 
Baada ya kupata ufumbuzi wa 1xbet tusisahau kuwashukuru wote waliotuuzia safaricom KWANI lengo letu alikuwa ni kanji kumliza sasa machozi ya damu yatamtoka.
 
Baada ya kupata ufumbuzi wa 1xbet tusisahau kuwashukuru wote waliotuuzia safaricom KWANI lengo letu alikuwa ni kanji kumliza sasa machozi ya damu yatamtoka.
Hizi habari njema zinakuja wakati huu naisubiri line yangu ya safaricom daaaaaah.....
 
Mkuu Meridian ni vimeo hakuna mfano
Biashara ya online hawapo siriazi nayo wao macho yako kwenye maduka yao tu

1xbet kwa keno nimewavulia kofia
Wako gudi kinoma
Nachezaga sana tu
Mkuu 1*bet wanayo keno? Mbona mm sijaiona mkuu ? Mm mwenyewe n mdau na natumia 1*bet lakn Shaina keno. Najua keno ipo playmaster na meridian tu
 
Si kweli meridian wako vizuri siku hizi mi natumia app yao na sijaona ratio mpaka sasa ilikuwa zamani sana
Sasa ndugu yangu unatumia meridian mm naomba msaa sijui hii n wk ya ngapi hunisaidii Wala nini kweli huo nu uungwana?
 
Back
Top Bottom