Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Leo najaribu jaribu naona siku imekaa vizuri leo si
IMG_20190426_192653.jpg
haba
 
Daa nimepigwa sanaa kwenye betting sina hamu

Saizi kila option naiona ngumu

Betting inastress balaaa

Wakuu kazi njema, mapambano yendelee
Kuna jamaa alinambia watu tnaobet hatuwezi umwa presha maana tnakutana nazo kila siku
 
Back
Top Bottom