and 998 others
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 28,477
- 40,278
Tulia uone kaziHuwezi kuweka
Tulia uone kaziHuwezi kuweka
Huku hupaweziMnifundishage na mie kubet sasa
Liva anaongoza moja dk 1Huwezi kuweka
Sema tuu hutaki kunifundisha mimi jamaniiiHuku hupawezi
Ku-bet raha unaweka bet unaenda kulala ukiamka unakuta mzigo kama wote kwenye mpesaSema tuu hutaki kunifundisha mimi jamaniii
Sasa mbona hamnifundishi etiKu-bet raha unaweka bet unaenda kulala ukiamka unakuta mzigo kama wote kwenye mpesa
Wakuu msaada wenu hapa nimekwama wale wanaotumia safaricom wanielekeze tafadhaliView attachment 1082067
fanya registration ya account yako kwa kutumia line ya safaricom...Wakuu msaada wenu hapa nimekwama wale wanaotumia safaricom wanielekeze tafadhaliView attachment 1082067
Tayari mkuu nishafanyafanya registration ya account yako kwa kutumia line ya safaricom...
Kama hata cheza kabisa mzigo unarudi.
Goodluck.
Nenda kwenye account settings uverify namba ya simu watakutumia code yao
Wamerudisha mzigo?$Naona wamesharudisha