Beting ipo tatizo mmekariri normal win
Mkeka umeniuma huu
DaahView attachment 1088454
jaribu tu mzee si sh100 m hua naishia kupatia mechi 7 tu izi jackpot ni kiboko yaaniMnaotumia betpawa hii jackpot ni ya kweli au wanavutia tu watu kwa Mia unapiga MIL 200 kweli sportpesa kazi wanayo
Mi nimeijaribu kwa buku kweli nikose hata timu 10 ngoja tuonejaribu tu mzee si sh100 m hua naishia kupatia mechi 7 tu izi jackpot ni kiboko yaani
Mnaotumia betpawa hii jackpot ni ya kweli au wanavutia tu watu kwa Mia unapiga MIL 200 kweli sportpesa kazi wanayo
Mechi inakaribia Kuisha ila utakulaa mkuuu[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji119][emoji119]Wadau huu mkeka vp nimekula au nimeliwa?View attachment 1088578
Au unatutega mkuu huwezi weka pesa ndefu hivyo ushindwe fatilia matokeo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji57][emoji57][emoji48]View attachment 1088583
Ukapata sh ngapiUnadhani rahisi eeh.
Week iliuopita nilikomaa nikaishia kupatia match 12 tu.
Ukapata sh ngapi
Hivyo nikajua inaanzia kumiBonus inaanzia match 13 na match zipo 17