Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Duh nlikuwa sijui kale kaneno ignore kwenye account ya member kana uwezo gani Yan Sasa baada ya kumuondoa ignore piddy Yan Mambo n raha Yan natiririka bila shida kwenye hili jukwaa Yan n raha ilioje aisee.

Ubarikiwe ulioleta wazo la kumuignore piddy
HUKUJUA MANAKE KWA KISWAHILI POLE SHULEE NZURI MSIBAKI KWENYE BETTING TU
 
IMG_20190504_191136_807.jpg
IMG_20190504_191141_883.jpg
IMG_20190504_191139_559.jpg
IMG_20190504_191155_326.jpg
IMG_20190504_191152_063.jpg
 
Guest Betslip Id: #72067764
---------------------------------
France (Basketball)
1: 8220 - Boulazac Basket v Antibes Sharks, 1st Half - Total Spread 77.5: o - 1.8


Belgium (handball)
Knack Roeselare v VC Maaseik, Totals 184.5: o - 1.81

Total odds
3.65 odds
 
Leo napumzika kubeti wakuu betting Leo imenipiga mbaya.. mamelod kasepa na elfu thelathini yangu... Nitarudi mwezi wa nane ligi ikianza.... Kama hata sevila anagongwa na leganes... Atletico anagongwa na espanyol... Naona Hakuna betting kwa sasa
 
Wakuu tusubilini msimu mpya, saiz hata timu kubwa zimechoka balaa, wanapigwa

Saiz bora ubet angalau magoli
 
Wanajeshi hawakati tamaa ndugu pambana maana kula ni muda wowote tu usipunzike tuliza akili badilisha option rudi vitani bado tunamdai mhindi kumbuka
Leo napumzika kubeti wakuu betting Leo imenipiga mbaya.. mamelod kasepa na elfu thelathini yangu... Nitarudi mwezi wa nane ligi ikianza.... Kama hata sevila anagongwa na leganes... Atletico anagongwa na espanyol... Naona Hakuna betting kwa sasa
 
Duh nlikuwa sijui kale kaneno ignore kwenye account ya member kana uwezo gani Yan Sasa baada ya kumuondoa ignore piddy Yan Mambo n raha Yan natiririka bila shida kwenye hili jukwaa Yan n raha ilioje aisee.

Ubarikiwe ulioleta wazo la kumuignore piddy
Tupo wengi mkuu
 
Back
Top Bottom