Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Ligi za ujerumani kwa magoli tu, si haba
Screenshot_2019-05-04-17-25-08.jpeg
 
Duh nlikuwa sijui kale kaneno ignore kwenye account ya member kana uwezo gani Yan Sasa baada ya kumuondoa ignore piddy Yan Mambo n raha Yan natiririka bila shida kwenye hili jukwaa Yan n raha ilioje aisee.

Ubarikiwe ulioleta wazo la kumuignore piddy
 
Hongera mpwa..huo ndio uzuri wa 1xbet hawa jamaa nimewavulia kofia ndo kampuni pekee duniani nadhani ambayo mkamalia anaweza kula hela yao bila wasi..
Unaweza nieleza jinsi ya kuingiza na kutoa hela kwenye 1x bet kwa kutumia my bux ndugu?
 
Unaweza nieleza jinsi ya kuingiza na kutoa hela kwenye 1x bet kwa kutumia my bux ndugu?
Mkuu umejaribu ukakwama wapi?
Unajua mda ni mcheche na mambo ni mengi
Kuanza kukueleza from the scratch ni kazi

Nenda top up kisha chagua mybux
Anza kufuata maelekezo taratibu
Utakapo kwama uliza
 
Mkuu umejaribu ukakwama wapi?
Unajua mda ni mcheche na mambo ni mengi
Kuanza kukueleza from the scratch ni kazi

Nenda top up kisha chagua mybux
Anza kufuata maelekezo taratibu
Utakapo kwama uliza
Ok
 
Mkuu umejaribu ukakwama wapi?
Unajua mda ni mcheche na mambo ni mengi
Kuanza kukueleza from the scratch ni kazi

Nenda top up kisha chagua mybux
Anza kufuata maelekezo taratibu
Utakapo kwama uliza
Napata shida kutengeneza new account ya my bux..najaza details zote ..inanambia

Erroe for site owner:Invalid domain for site key
 
Back
Top Bottom