Mr. Wise
JF-Expert Member
- Jul 23, 2012
- 7,733
- 6,470
Ipi?Mkuu nipe maujanja ya kula kwa option hiyo
Ipi?Mkuu nipe maujanja ya kula kwa option hiyo
Anakufa bila ubishi akapambane vizuri na AjaxSpurs kala umeme
Odds ya Mamelodi ilkua 2.14 toka jana leo imeporomoka mpaka 1.7 what does this mean!Mazembe na Mamelodi tunafanyaje mkongwe nipe tathmin
Ningekua nacheza iyo game ya Mamelod ningecheza Half with most goals ni Second HalfOdds ya Mamelodi ilkua 2.14 toka jana leo imeporomoka mpaka 1.7 what does this mean!
Nadhani Mamelodo wins
sina uhakika sana na Mazembe kwa kweli labda 1X ,ukizingatia Esperance sio mbaya !
Yani wale wa direct WIN kwa spurs kama nawaona matumbo yalivyowashika kwasasa dah....sijui kama akiwa pungufu hivi ataweza kunipa kona 2 hii second halfSpurs kadi ya pili nyekundu
Me nataka nimuwekea shots on direction of goal over 14Yani wale wa direct WIN kwa spurs kama nawaona matumbo yalivyowashika kwasasa dah....sijui kama akiwa pungufu hivi ataweza kunipa kona 2 hii second half
Spurs ataniharibia sasaYani wale wa direct WIN kwa spurs kama nawaona matumbo yalivyowashika kwasasa dah....sijui kama akiwa pungufu hivi ataweza kunipa kona 2 hii second half
Yeah kuna kila dalili hapo aiseeSpurs ataniharibia sasa
Maana hapo lazima afanye sub zote 3
B.mounth naye lazma atamaliza sub zoteView attachment 1087917
Mrusi yupi huyu
1Xbet iyo Mkuu game ya keshoMrusi yupi huyu
Siioni 1xbet wala parimatch hii game
Pesa hiyo