Aiseeeh ww kumbe mbabe ivo, mkuu hata ya soda, sie maumivu tuHatimaye Sportpesa wamenilipa mpunga wangu==>>CONGRATULATIONS! You WON Bonus of Tzs4088341 on JP BetID J35T4R9 for 1 - 10 correct predictions. Tax Tzs817268. Winning after tax Tzs3271073.
Aiseeeh ww kumbe mbabe ivo, mkuu hata ya soda, sie maumivu tu
Hongera mkuuHatimaye Sportpesa wamenilipa mpunga wangu==>>CONGRATULATIONS! You WON Bonus of Tzs4088341 on JP BetID J35T4R9 for 1 - 10 correct predictions. Tax Tzs817268. Winning after tax Tzs3271073.
Hamna kodi zipo kisheriaWakuu, ni kampuni gani kibongo bongo haikati Kodi? Naona Premier wameshaanza ukuda km m-bet.
Jaman nimenunua vocha ya mybux hela imekatwa na mlipa ila sijatumiwa vocha sijui nn shida
Jaman nimenunua vocha ya mybux hela imekatwa na mlipa ila sijatumiwa vocha sijui nn shida
Mi siku ya tatu leo nimewapigia mlipa wapo kimya kudadeki zao daaaJaman nimenunua vocha ya mybux hela imekatwa na mlipa ila sijatumiwa vocha sijui nn shida
Nimenunulia vodacomMtandao gani mkuu?
Kesho hii ni pesaView attachment 1087354
Dah ukisikia uzalendo ndio huu sasaYaan kodi laki 8 mkuu ..aseee
Mimi hapa mkuu toka juzi mlipa jana siku nzima hawapatikani nimewapata leo nikaongea nao wakasema wanashughulikia lakini mpaka mda huu kimya kesho ntawatafuta kwa tusi moja matata sanawakuu ninacase moja hapa naomba msaada.
nilinunua voucha my bux via airtel money Jana saa 18:30 jioni ila mpaka sasa sijatumiwa voucha nani mwingine kapata tatizo kama langu?
nifanyeje? Coz kila nikiwaemail mlipa kimya hata simu hawapokei
Ulitumia Airtel auJaman nimenunua vocha ya mybux hela imekatwa na mlipa ila sijatumiwa vocha sijui nn shida
Mimi jana nilipata Hilo tatizo, niliwachek M-lipa wakasema upande wa Airtel Una shida,,,nikawacheck Airtel money wakanijibu watairudisha Pesa ndani Ya masaa 72..so Airtel inazingua labda tigopesa au M-PESAwakuu ninacase moja hapa naomba msaada.
nilinunua voucha my bux via airtel money Jana saa 18:30 jioni ila mpaka sasa sijatumiwa voucha nani mwingine kapata tatizo kama langu?
nifanyeje? Coz kila nikiwaemail mlipa kimya hata simu hawapokei