Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Siku ya kwanza kuijaribu iliingia fasta sana...tokea hapo cjawahi kufanikiwa kudeposit tena.
Emails hazitumwi wala nini, una resend hadi unachoka lakin wapi
Ok daa siku ya kwanza haikuleta shida kudeposit,siku pili sasa ndo kimya mpaka leo
 
P'didy alikuwa anampinga sana sungusungu na kumwita muuza tips,matokeo yake na yeye kawa version nyingine ya sungusungu
 
Siku ya kwanza kuijaribu iliingia fasta sana...tokea hapo cjawahi kufanikiwa kudeposit tena.
Emails hazitumwi wala nini, una resend hadi unachoka lakin wapi
Itakuwa system yao haiko vizuri naona walikuwa wanaijaribu wakakuta response ya watu ni kubwa
 
Bora kutumia card Kama nilivyokuwa natumia
Daaa yaani kuna umuhimu wa kutafuta line ya safaricom japo nayo sio safe sana mi 1xbet ndo kila kitu ukiingia na live zako ndani ya masaa mawili kilo tano hukosi
 
Kuna mtu kajaribu kuwithdraw kwa mybux hivi karibuni?
Nataka nikwarue mkwanja wote nirudi bitcoins

I smell something fishy
 
Kuna mtu kajaribu kuwithdraw kwa mybux hivi karibuni?
Nataka nikwarue mkwanja wote nirudi bitcoins

I smell something fishy
Samahani unaweza kutunia muda wako kidogo kunielekeza hizi mybux,bitcoins ni nini na kipi nahitaji ili niweze kufanya transaction?
 
Screenshot_20190504-105014.png
 
HIZI N FREE TUNAPEANA KWA FB USILIE SANA MBA ZAKO TU KU JOIN FB
MEMBERS HOPE TUMR ENJOY
Screenshot_20190504-110421.png
Screenshot_20190504-110441.png
Screenshot_20190504-110345.png
 
Back
Top Bottom