neggrer
Senior Member
- Oct 26, 2016
- 180
- 83
jamaa leo umesakamwa
Kama ulifata ushampiga kanji..Dakika 45 simba win kapewa odds 9 win. Asee
Mpwa i beg to differ with youTUNAENDELEA KUMPIGA MHINDI
WHATSUP/CALL +255713458722
CHANGIA UENDELEE KUSMILE PUNView attachment 1087073View attachment 1087074View attachment 1087075View attachment 1087076View attachment 1087077View attachment 1087078View attachment 1087079View attachment 1087080View attachment 1087080guaranteedView attachment 1087079View attachment 1087078 HUZUNI ZAKULALAMIKA
Whatsup +255713458722 TUENDELEE KUMPIGA KHANJI USIOGOPE MANENO PIGA KAZI TENGENEZA HELAjamaa leo umesakamwa
Hujamkwaza Bali yeye hukwaza members hapa jfMpwa i beg to differ with you
Hii sasa too much
Jaribu sana kutenganisha kati magroup yako ya kuuza Tips na JF
Ili kuwa mkamaria mzuri your suppose to bet for reasons. Uchambuzi ni muhimu kulikabili hili game
Mambo yanayokera
Unatuma tips zaidi ya 50 kwa siku sometime game moja predictions kibao
Man win
Man draw
Man lose
Man under 2.5
Man over 2.5
Gg yes
Gg no
Dc 12, 1x, 2x
Mwisho wa game lazima utapost boom za kutosha
Matangazo umezidi hadi unaondoa ladha ya jjukwaa as Great Thinkers
Sipendi kuona matangazo ya biashara yako ya tips kwenye jukwaa hili ambapo watu tunaamini maamuzi na predictions zetu na sio kununua mtu akufanyie kazi hiyo
Unaweza kutuma just few tips kwa siku na kuzi defend inapopidi
The perfect place kwa biashara yako ni fb na wasap, not here in JF
Mwanzo ulianza vizuri na ulikua mkali kweli kwa wauza tip wanaovamia jukwaa
Lakini sasa naona mpwa tamaa imekuzidi, busara zimehama, husikii wala kuona ni jinsi gani unakwaza wanajukwaa
Akili yako ime stuck kwenye elf 15 unazotaka utumiwe na wakamalia badala ku stake high na hizo tip zako za uhakika ukapiga mamilioni per day
We appreciate juhudi zako za kukusanya tip toka app na channnel mbalimbali but ifike mahali as a Greater thinker ujiongeze
Sorry kama nimekukwaza
1xbetHii app gan yenye option ya no substitute player to score
Ni kama siamini ndio huyu Pdidy nanye mjua JFHujamkwaza Bali yeye hukwaza members hapa jf
fulsa mkuu, kule fb kuna madogo wakamalia toka kenya, tz, sasa wakijirengesha member 200 wa kumtumia hiyo ten maana yake tsh2,000,000 per month sasa mtalingana? lazima akujibu mbovu!Ni kama siamini ndio huyu Pdidy nanye mjua JF
Kawa na majibu ya kipuuzi kama ya wauza odd wote duniani ukiwaambia ukweli
Wana majibu ya kufanana
Mkuu unaweza ukaniambia ni njia ipi umetumia kudeposit? Na je ku withdraw unatumia njia ipi?Nimefanikiwa kudepist 1xbet buku 2 naomba tips 1 yakuanzia maisha mapya 1xbet
Welcome to 1XbetNimefanikiwa kudepist 1xbet buku 2 naomba tips 1 yakuanzia maisha mapya 1xbet