kwe kudeposit inachukua mda gan mkuu?Salio kwenye akaunt halijatoka mpaka watume sms code
kwe kudeposit inachukua mda gan mkuu?
ahaa sawa mkuu ngija niweke maana nmewamic sanaFasta tu, nahisi kuna shida kwangu maana jamaa yangu ametoa leo asubuhi bla kusubir.
Nimewatafuta 1x wanipigie ndio nangoja
Tuache dharau wakuu kitu anachofanya Pdidy ni uungwana sana, maana kuna tips zingine anazoleta hapa jukwaani sio free tips.Hata yeye anakozitoa hazitolewi bure kuna kiasi kikubwa tu analipia.Hivyo sio mbaya kumtunuku kidogo kitu.
sahau kuhusu hilo mkuu,.. yeye anaokoteza kwenye magrp huko wala hajawahi chambua. kuna kipindi nilishajaribu kumfata kama mara tatu hivi naangukia pua. ndio nikagundua jamaa hayuko serious. sasa akili za watoto wa fb aliowashika huko anataka atuletee hapa jamvini. huyu hata kubeti haweki mzigo nina miaka tuko nae hum sijawahi shuhudia mkeka wake kwamba amewin au lost!
sasa jiulize matakataka haya anayasomba kwa manufaa ya nani? au ni wakala wa kanji mirusi mingi kumpoteza mbwa?
mara nyingi wadau wamekuwa wakilalamika juu ya rundo la tips anazotuma humu huku wengine wakimkingia kifua kwamba anawasaidia(kama ni kweli basi ni jambo la heri!)
na ukitaka kumwelewa vizuri huyu mtu ni wa ainagani na marengo yake ni nini,mfuate fb ukashuhudie alivyokusanya kijiji cha madogo huko fb!
big up kwa @deepond, mr wise Tru
[emoji736]Anachokosea piddy kwa mtizamo wangu mimi ni pale anapo post tips ambazo zinaleta mgongano mfano labda Arsenal vs Everton anaweza post Arsenal Win alafu baadae anakuja anapost double Chance kwa Everton au anasema Correct score 1-0 alafu baadae ana weka hyo hyo mechi GG au Over 1.5 so nikama anachagua option zote ili hata moja ikitiki aje baadae apost kwamba mikeka yake aliyo post imetiki, ishu kama hizo zinaleta mkanganyiko ni bora upost mikeka miwili mizuri kuliko kupost mikeka buku inayoleta confusion!
Ruka nayo mwana inatoka au ana umeme?Dakika 45 simba win kapewa odds 9 win. Asee