Laury
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 1,305
- 1,567
Ndo maana mzee mwenzangu sikuoni kabisaaa...Huu uzi ulianza kuaribika walipoibuka watu ambao wanapost wakishakula tu.
Bora kufanya mambo yako kimya kimya tu.
Ndo maana mzee mwenzangu sikuoni kabisaaa...Huu uzi ulianza kuaribika walipoibuka watu ambao wanapost wakishakula tu.
Bora kufanya mambo yako kimya kimya tu.
Hamna kitu hapo ndugu we bahatisha tu kama analipia mwache aendelee kulipiaTuache dharau wakuu kitu anachofanya Pdidy ni uungwana sana, maana kuna tips zingine anazoleta hapa jukwaani sio free tips.Hata yeye anakozitoa hazitolewi bure kuna kiasi kikubwa tu analipia.Hivyo sio mbaya kumtunuku kidogo kitu.
Hivi mzee mwenzangu hizi special bets inaruhusiwa kuchanganya na bets nyingine??
Tips bila information zina faida gani sasa?? Hawa jamaa wanaingia kwenye betting sites wanatafuta odds ndogo ndogo wanazileta, anyone can do that!!!Tuache dharau wakuu kitu anachofanya Pdidy ni uungwana sana, maana kuna tips zingine anazoleta hapa jukwaani sio free tips.Hata yeye anakozitoa hazitolewi bure kuna kiasi kikubwa tu analipia.Hivyo sio mbaya kumtunuku kidogo kitu.
Kampuni gani hiyo mkuu? Naona wako vizuri sana.Unafuta matokeo yaliyopo unabet upya kwa muda uliobakia
sahau kuhusu hilo mkuu,.. yeye anaokoteza kwenye magrp huko wala hajawahi chambua. kuna kipindi nilishajaribu kumfata kama mara tatu hivi naangukia pua. ndio nikagundua jamaa hayuko serious. sasa akili za watoto wa fb aliowashika huko anataka atuletee hapa jamvini. huyu hata kubeti haweki mzigo nina miaka tuko nae hum sijawahi shuhudia mkeka wake kwamba amewin au lost!Mkuu uwe unaleta ata mikeka 3 tuh kwa siku ambayo unaion ni uhakika!
Ww kila saa unatupia mpaka tunashindwa kuelewa tutembee na timu gani
Meridian BetKampuni gani hiyo mkuu? Naona wako vizuri sana.
Mkuu ukiachaga pombe za kienyeji unakuwa na akili sana.sahau kuhusu hilo mkuu,.. yeye anaokoteza kwenye magrp huko wala hajawahi chambua. kuna kipindi nilishajaribu kumfata kama mara tatu hivi naangukia pua. ndio nikagundua jamaa hayuko serious. sasa akili za watoto wa fb aliowashika huko anataka atuletee hapa jamvini. huyu hata kubeti haweki mzigo nina miaka tuko nae hum sijawahi shuhudia mkeka wake kwamba amewin au lost!
sasa jiulize matakataka haya anayasomba kwa manufaa ya nani? au ni wakala wa kanji mirusi mingi kumpoteza mbwa?
mara nyingi wadau wamekuwa wakilalamika juu ya rundo la tips anazotuma humu huku wengine wakimkingia kifua kwamba anawasaidia(kama ni kweli basi ni jambo la heri!)
na ukitaka kumwelewa vizuri huyu mtu ni wa ainagani na marengo yake ni nini,mfuate fb ukashuhudie alivyokusanya kijiji cha madogo huko fb!
big up kwa @deepond, mr wise Tru
Hapana huwa hawaruhusuHivi mzee mwenzangu hizi special bets inaruhusiwa kuchanganya na bets nyingine??
hahah dah!Mkuu ukiachaga pombe za kienyeji unakuwa na akili sana.
Pdiddy ni mtoto tumsamehe tu.
mkuu vp ulipata?Wakuu ivi kuna shida gani mbona niki-withdraw 1xbet kwa mybux sipati sms code?
mkuu vp ulipata?
duh aisee naogopa kuanza kutumiaSijapata asee
duh aisee naogopa kuanza kutumia