NA HIII ILIKUWEPOOO SEMENI MENFINEWAPIGA MAKELELEE BADO MPO AMA MNASUBORI TALA ISOME MHAMALA
WALIOCHEZA CONGS..
WHATSUP +255713458722 CHANGIA UPAMBANE NA.MHINDI OKOA.MALELLEE YA KUMLAAN.MHINDIView attachment 1087410
Ndugu yangu kwa siku unaweka tips kama 40, zikishinda 5 unakuja kutusumbua!!!WAPIGA MAKELELEE BADO MPO AMA MNASUBORI TALA ISOME MHAMALA
WALIOCHEZA CONGS..
WHATSUP +255713458722 CHANGIA UPAMBANE NA.MHINDI OKOA.MALELLEE YA KUMLAAN.MHINDIView attachment 1087410
mi nilijua ana waumini wengi mi ndo nakereka na mikeka yake kila baada ya muda mfupiNdugu yangu kwa siku unaweka tips kama 40, zikishinda 5 unakuja kutusumbua!!!
Ndugu yangu kwa siku unaweka tips kama 40, zikishinda 5 unakuja kutusumbua!!!
cjui hiyopipo now imekula maharage ya wap?its 2much pdiddy ebu badilika bac mkuuMpwa i beg to differ with you
Hii sasa too much
Jaribu sana kutenganisha kati magroup yako ya kuuza Tips na JF
Ili kuwa mkamaria mzuri your suppose to bet for reasons. Uchambuzi ni muhimu kulikabili hili game
Mambo yanayokera
Unatuma tips zaidi ya 50 kwa siku sometime game moja predictions kibao
Man win
Man draw
Man lose
Man under 2.5
Man over 2.5
Gg yes
Gg no
Dc 12, 1x, 2x
Mwisho wa game lazima utapost boom za kutosha
Unataka tuchangie tips zaidi ya 50 kwa siku hiyo nayo si ni kamali tosha
Ntajua ipi sasa itawin maana huwezi kustake tip zote hizo
Nahakika mpwa hauplacebet hata tip moja unasubiri changia tumle muhindi
Matangazo umezidi hadi unaondoa ladha ya jjukwaa as Great Thinkers
Sipendi kuona matangazo ya biashara yako ya tips kwenye jukwaa hili ambapo watu tunaamini maamuzi na predictions zetu na sio kununua mtu akufanyie kazi hiyo
Unaweza kutuma just few tips kwa siku na kuzi defend inapopidi
The perfect place kwa biashara yako ni fb na wasap, not here in JF
Mwanzo ulianza vizuri na ulikua mkali kweli kwa wauza tip wanaovamia jukwaa
Lakini sasa naona mpwa tamaa imekuzidi, busara zimehama, husikii wala kuona ni jinsi gani unakwaza wanajukwaa
Akili yako ime stuck kwenye elf 15 unazotaka utumiwe na wakamalia badala ku stake high na hizo tip zako za uhakika ukapiga mamilioni per day
We appreciate juhudi zako za kukusanya tip toka app na channnel mbalimbali but ifike mahali as a Greater thinker ujiongeze
Sorry kama nimekukwaza
Dawa Ni kum block TU, huwezi ona anacho post....!![emoji23] anaweka mikeka mingi adi tuchanganyikiwa
HAO MEMBERS MNAONUNUA MKEKA MWAMBIENI PDIDY WENU ANATUSUMBUAA ALAF MBONA HAMUONESHI WINNING TICKETS ZENU ANAZOWAPA?! MPO KWELI??WALE.MEMBERS HOPE TUNAENDELEA KUMWOGESHA MHINDI
WHATSIP +255713458722 TUMKUNKE PAMOJA MORE GREEN COMNView attachment 1087415View attachment 1087416View attachment 1087417
Hamna ata mmoja aliyekuja na mrejesho wa nini kinaendelea uko😂HAO MEMBERS MNAONUNUA MKEKA MWAMBIENI PDIDY WENU ANATUSUMBUAA ALAF MBONA HAMUONESHI WINNING TICKETS ZENU ANAZOWAPA?! MPO KWELI??
Nilitumia Mpesa, ilingia chap tu halafu walikuja kukata salio kwenye mpesa baada ya siku moja.Mimi hapa mkuu toka juzi mlipa jana siku nzima hawapatikani nimewapata leo nikaongea nao wakasema wanashughulikia lakini mpaka mda huu kimya kesho ntawatafuta kwa tusi moja matata sana
Kumbe wana delay kidogo kwenye malipo..matokeo si wanatoaga jumatatu..Hatimaye Sportpesa wamenilipa mpunga wangu==>>CONGRATULATIONS! You WON Bonus of Tzs4088341 on JP BetID J35T4R9 for 1 - 10 correct predictions. Tax Tzs817268. Winning after tax Tzs3271073.