Jay Gatsby
JF-Expert Member
- Jul 28, 2017
- 697
- 928
Jaman hii option inamaana gan msaada plzView attachment 1092075
Ajax atashinda kipindi cha pili na jumla ya magoli kwenye hicho kipindi cha pili yatakuwa kuanzia mawili kwenda mbele
Jaman hii option inamaana gan msaada plzView attachment 1092075
Ajax ashinde kipindi cha pili na magoli yawe kuanzia mawiliJaman hii option inamaana gan msaada plzView attachment 1092075
Kampuni gani napata haya madesa mzeeAjax v Spurs
Ajax to have over 1 corner in each half
Odds 1.9
Ajax atashinda kipindi cha pili na jumla ya magoli kwenye hicho kipindi cha pili yatakuwa kuanzia mawili kwenda mbele
Mkuu samahani, Unaweza nijuza Pdidy anabeti kwa kampuni gani ili niweze itumia? Maana namuliza yeye hata hanijibu kaka
Kwani kuna shida gani kutujuza kampuni za kubeti?Huyu muuza tips
1xbetKampuni gani napata haya madesa mzee
Mkuu samahani, Unaweza nijuza Pdidy anabeti kwa kampuni gani ili niweze itumia? Maana namuliza yeye hata hanijibu kaka
Ajax V TottenhamLIVE BET
[emoji817][emoji817][emoji817][emoji106]View attachment 1092106
Unaweza kuwauliza wao wakakwambia tatizo.Natumia my bux as payment system naambuliaa majibu hayoo msaada kwa iloView attachment 1092107