Sorry mkuu kwa kuchelewa kukujibu, leo tupo pamoja tuendeleze mapambano leo ni mwendo wa kutafuta odds 5 tu za BASKETBALL then natia 50k inatosha nasubir kwenda kwa wakala.Pole sana mkuu,ila Vp NBA unaonaje game za leo Playoff?
Mkuu Pdidy hebu nisaidie Kupata !xbet App, Nikisearch Kwenye Playstore siipati; Naomba Msaada tafdhali, Hata kama una apk yake nipatie, au namna yoyote ya kuidownload;Mkuuu n code za merrybet na bet9ja nigeria
Nenda kwenye searching engine unayotumia (google) andika 1xbet. apk utaipata mkuuMkuu Pdidy hebu nisaidie Kupata !xbet App, Nikisearch Kwenye Playstore siipati; Naomba Msaada tafdhali, Hata kama una apk yake nipatie, au namna yoyote ya kuidownload;
Natanguliza Shukrani Mkuu,
Sorry mkuu kwa kuchelewa kukujibu, leo tupo pamoja tuendeleze mapambano leo ni mwendo wa kutafuta odds 5 tu za BASKETBALL then natia 50k inatosha nasubir kwenda kwa wakala.
Jana nilitoka hivi na kokolo la kikapu tu la odds 165, nlitaka nimkalishe kanji ila ana Bahati yake. View attachment 1092454View attachment 1092455View attachment 1092456View attachment 1092458
Thanks mkuu, Nimefanya kama Maelekezo yako; Ila nimekwama; Here is the problemUnadeposit 1x kupitia my mybux
Hiyo njia imefungwa kwa sasaThanks mkuu, Nimefanya kama Maelekezo yako; Ila nimekwama; Here is the problem
Mkuu Pdidy hebu nisaidie Kupata !xbet App, Nikisearch Kwenye Playstore siipati; Naomba Msaada tafdhali, Hata kama una apk yake nipatie, au namna yoyote ya kuidownload;
Natanguliza Shukrani Mkuu,
Asante Mkuu, Ila ni Darasa Lingine hilo; Unaweza Weka nyama Kidogo, hiyo Bitcoins inakuwaje? Is it App? Najua Safaricom ni line ile ya Kenya, je inapatikana hapa?Tafuta safaricom
Au tumia bitcoins
Fungua acc hapa https://localbitcoins.comAsante Mkuu, Ila ni Darasa Lingine hilo; Unaweza Weka nyama Kidogo, hiyo Bitcoins inakuwaje? Is it App? Najua Safaricom ni line ile ya Kenya, je inapatikana hapa?
Mkongwe naomba uwe unanitag mzee baba nitupie chache maana mm ni muumin wa 2+ odds ila ndo hivyo basket sio mjuviSorry mkuu kwa kuchelewa kukujibu, leo tupo pamoja tuendeleze mapambano leo ni mwendo wa kutafuta odds 5 tu za BASKETBALL then natia 50k inatosha nasubir kwenda kwa wakala.
Jana nilitoka hivi na kokolo la kikapu tu la odds 165, nlitaka nimkalishe kanji ila ana Bahati yake. View attachment 1092454View attachment 1092455View attachment 1092456View attachment 1092458
Mkuu,wakipata corner 2 na zaidi each half bado safi?Ajax v Spurs
Ajax to have over 1 corner in each half
Odds 1.9
Mkuu,wakipata corner 2 na zaidi each half bado safi?
Option tamu saana io..daah 1x hivi hawapati habari wateja wanahangaika.Hata zikifika corner buku mzee haina shida, cha msingi zisipngue 2