Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

kuna odds 2 apa za kulalia
stake average
Mkuu Nilipotea kidogo, nimerud kuna mtu alinambia 1xbet is no longer work with M-pesa, Hebu naomba nipe maelezo kama unafahamu chochote;
pia kama Kuna platform inayotoa Option nyingi kama ile, with basketball Live play, Please Let me Know.

Nawasilisha
 
Unadeposit 1x kupitia my mybux. Ukienda sehemu ya kudeposit utaiona
Hiyo ndo Ipi Mkuu; Nilikuwa ughaibun, sasa ni kama nimeambiwa 1x imebadilishwa utaratibu;
hebu nipe Details kuhusu hiyo mkuu wangu, nataka nirudi kiringeni, Vipi Basketball zipo, maana hizo ndio zilinipa hela sana kwenye 1x
 
So far 1xbet is da best
Wengine ni Parimatch, mkekabet meridian nk

Ingia 1xbet na bofya deposit
Chagua mybux
Jiongeze kuanzia hapo
Utakapokwama uliza baada ya kuwa umepata mwanga

Bot ilipiga marufuku upokeaji wa pesa toka makampuni ya kamari yasio sajiliwa bongo

Hizi njia tunatumia za ujanja ujanja tu
Mkuu Nilipotea kidogo, nimerud kuna mtu alinambia 1xbet is no longer work with M-pesa, Hebu naomba nipe maelezo kama unafahamu chochote;
pia kama Kuna platform inayotoa Option nyingi kama ile, with basketball Live play, Please Let me Know.

Nawasilisha
 

Screenshot_20190430-152819.png
Screenshot_20190430-153011.png
 
Code 2314 Date 30/04/2019 18:00
Event Montpellier - PSG
Live/Prematch Prematch


*Selection GG & Over*


_Let's go_ 💚💚💚
 
Back
Top Bottom