Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

aisee hii njia mpya tunayo itumia kwa 1xbet
MYBUX
kuna makato ya aina mbili
1 kununua izo coucher kuna charges 19.67%
2 kuna makato ya mtandao husika unapo fanya muamala transaction fee

NB
biller ni yule yule M LIPA (400700)
Duuh 19%?? Gharama sana aisee
Mlipa watakuwa wamecheza deal hapa
 
Sio mbaya sana (inplay)
 

Attachments

  • IMG_20190430_000111.jpg
    IMG_20190430_000111.jpg
    37.2 KB · Views: 39
Aisee, acha nibakie safaricom mpaka warejeshe mobile transactions
Duuh 19%?? Gharama sana aisee
Mlipa watakuwa wamecheza deal hapa
kabisaa nilikua sija wahi itumia njii hii nime jaribu kufanya deposit ya tshs 3000 tu kupitia tigo pesa kulipia iyo voucher nime tozwa tshs 590
means 3000+590 = 3590
deposit via tigo pesa
transaction fee was 320
so 3590 + 320 = 3910

.......
Safaricom is the best wacha tunao tumia hii njia tuendelee nayo
Screenshot_2019-04-29-23-59-39.jpeg
 
Ndiyo mkuu lakini kiwango kinavyoongezrka na % hupungu.mfono 50,000 ni 2775 hapo ni % ? Na gharama za mtando MF VODA ni 1000 sidhani kama 19% itafika
Duuh 19%?? Gharama sana aisee
Mlipa watakuwa wamecheza deal hapa
 
Mnaotumia safaricom mtupe gharama ili tuweze kukompare kutuma mpesa to safaricom,safaricom to 1xbet,1xbet to safaricom na safaricom to mpesa lengo tubetie kampuny pendwa
kabisaa nilikua sija wahi itumia njii hii nime jaribu kufanya deposit ya tshs 3000 tu kupitia tigo pesa kulipia iyo voucher nime tozwa tshs 590
means 3000+590 = 3590
deposit via tigo pesa
transaction fee was 320
so 3590 + 320 = 3910

.......
Safaricom is the best wacha tunao tumia hii njia tuendelee nayo View attachment 1084351
 
Mnaotumia safaricom mtupe gharama ili tuweze kukompare kutuma mpesa to safaricom,safaricom to 1xbet,1xbet to safaricom na safaricom to mpesa lengo tubetie kampuny pendwa
ku deposit via safaricom kwa 1xbet ni free

charges zina apply unapo hamisha pesa toka voda kwenda safaricom ambapo uta chajiwa normal charges

kama unavo hamisha pesa toka voda kwenda voda ama voda kwenda mtandao mwingne
 
MAPAMBANO YANAENDELEA KARIBUN TUCHANGIE TUMPIGE MHINDI
WHATSUP +255713458722
Screenshot_20190430-000840.png
Screenshot_20190430-000932.png
Screenshot_20190430-002037.png
 
2+2+2 #Booooooooooooooooom
Morrow another day Whatsup +255713458722 changia tumle mhindi
Screenshot_20190430-005220.png
Screenshot_20190430-005233.png
Screenshot_20190430-005209.png
Screenshot_20190430-005220.pngScreenshot_20190430-005233.pngScreenshot_20190430-005209.png
 
kuna odds 2 apa za kulalia
stake average
see u guys tomorrow
Screenshot_2019-04-30-00-55-19.jpeg
 
Wadau ngoja niwe Specific kuhusu 1xbet deposit..


Nenda top up acnt
My bux
Open link ya chini
Bofya alama ya square
Chagua buy my bux
Weka email,number na amount.
Kuna captcha hapo hapo ya security weka.
Ukimaliza bofya complete..
Kisha utatumiwa sms kwenye simu no ya compny na kumbkumb...
Lipia kwa mpesa.
Ukimaliza utatumiwa email ina vocher code number 10.
Copy hizo namba kutoka kwenye email.
Rudi 1xbet deposit.
Bofya my bux..
Weka amount ile ile uliolipia..
Weka namba yako..
Paste zile namba 10 ulizocopy kwenye email.
Ukimaliza hapo toa zile dash kwenye hizo namba 10..
Ukimaliza bofya ok..

Pesa inaingia in tzshs!
Makato vp yakoje?
 
Mkuu Zero bet ina maana gani?
Unafuta matokeo yaliyopo bila Kujali nani anaongoza then unasema una mpa ashinde unayetaka kwa muda uliobakia mi Mara nyingi nazipa ushindi timu kuanzia dakika ya 75 au 80 na wakati mwingne dk ya 85 na Odd's zinakuwa zimepanda
 
Bahati mbaya nimekwangua pesa zote 1xbet mkuu

Natumia Bitcoins, wamenipandishia dau la kuwithdraw limekua kuanzia laki 2

Nafikiria njia mbadala ya kudeposit

Unatumia ipi?

Duu hawa jamaa kenge kabisa laki 2 parefu sana
 
Back
Top Bottom