Pdidy
Platinum Member
- Nov 22, 2007
- 62,101
- 38,487
5+ oddsNilipuuzia aiseee
5+ oddsNilipuuzia aiseee
Mybux utaipenda kutoa minimam 3500/kuweka minimal 1500
Njoo chemba tupeane maarifa bureTuelekeze njia ya mybux mkuu
Hii unaitumiaje?au ndo mpaka uwe na akaunt mybux?
Elekeza hapa kila MTU ajue sisi sote.adui wetu ni kanji kuna shida gani mbona bitcoins ilielezwa hapa kila MTU alijuaHapana njoo chemba tuelekezane
Elekeza hapa kila MTU ajue sisi sote.adui wetu ni kanji kuna shida gani mbona bitcoins ilielezwa hapa kila MTU alijua
Mzee baba hivi naweza kuwa na app mbili za 1xbet kwenye simu kwa wakati mmoja yaan naweza kutumia 1xbet ya kenya na at the same time nina app ya 1×bet ya Tsh??Wadau ngoja niwe Specific kuhusu 1xbet deposit..
Nenda top up acnt
My bux
Open link ya chini
Bofya alama ya square
Chagua buy my bux
Weka email,number na amount.
Kuna captcha hapo hapo ya security weka.
Ukimaliza bofya complete..
Kisha utatumiwa sms kwenye simu no ya compny na kumbkumb...
Lipia kwa mpesa.
Ukimaliza utatumiwa email ina vocher code number 10.
Copy hizo namba kutoka kwenye email.
Rudi 1xbet deposit.
Bofya my bux..
Weka amount ile ile uliolipia..
Weka namba yako..
Paste zile namba 10 ulizocopy kwenye email.
Ukimaliza hapo toa zile dash kwenye hizo namba 10..
Ukimaliza bofya ok..
Pesa inaingia in tzshs!
ina wezekana fresh kabisaaaMzee baba hivi naweza kuwa na app mbili za 1xbet kwenye simu kwa wakati mmoja yaan naweza kutumia 1xbet ya kenya na at the same time nina app ya 1×bet ya Tsh??
sawa mpwaaaaaa!!
Atalanta Win
Galatasaray Win
Fiorentina 1x
Spartak Moskv Win/1x
Al Hilal Win
Cork City Win/1x
CFR Cluj 1x
Mi najilipua hivi leo wakuu
Hehe ungemnyofoa kweli kweliDaah mhindi mchawi Sana ningemtafuna leo kwa jiti View attachment 1084260
Daah freshina wezekana fresh kabisaaa
View attachment 1084289
Aisee, acha nibakie safaricom mpaka warejeshe mobile transactionsaisee hii njia mpya tunayo itumia kwa 1xbet
MYBUX
kuna makato ya aina mbili
1 kununua izo coucher kuna charges 19.67%
2 kuna makato ya mtandao husika unapo fanya muamala transaction fee
NB
biller ni yule yule M LIPA (400700)