Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Screenshot_20190430-175013.png
 
NO ONE BOOOOOM WALIOCHEZA DIFF TKT KWA MEMBERS ANGALIA MZIGO
WHATSUP +255713458722 TUMIGE MHINDI ..

MALIZIA.ZILIZOBAKI
Screenshot_20190430-175752.png
.
 
Wakuu mwenye namba ya M-lipa anisaidie, nimetuma hela iende mybux mida ya SAA tano asubuhi ila mpaka sasa sijatumiwa e-mail. Nimewapigia voda wanadai pesa ipo m-lipa. Msaada please.
 
Unafuta matokeo yaliyopo bila Kujali nani anaongoza then unasema una mpa ashinde unayetaka kwa muda uliobakia mi Mara nyingi nazipa ushindi timu kuanzia dakika ya 75 au 80 na wakati mwingne dk ya 85 na Odd's zinakuwa zimepanda
Sasa matokeo yakitoka vile vile je?yaani nyau nyau tangu ulivoplace bet unakuwa umeliwa au umekula?
 
Wakuu mwenye namba ya M-lipa anisaidie, nimetuma hela iende mybux mida ya SAA tano asubuhi ila mpaka sasa sijatumiwa e-mail. Nimewapigia voda wanadai pesa ipo m-lipa. Msaada please.
Umefuata haya maelezo?
Resend....
Screenshot_2019-04-30-18-34-31.jpeg
 
Nahisi umechemka mahali mkuu au labda kuna shida ya kimtandao

Mi nililipa sikupata sms ya muamala wa Voda lakini nikapokea email fasta tu

Sijui no zao za customer service
Ndio... Wananiambia hakuna active voucher kwenye hizo details, yaani e-mail na namba yangu. Ndipo nimehisi huenda tatizo lipo m-lipa.
 
IR Reykjavik – Fjolnir ▶ OV2.5

Tottenham - Ajax ▶ GG
 
IR Reykjavik – Fjolnir ▶ GG

Tottenham - Ajax ▶ 2X

STAKE UNCLE
 
Back
Top Bottom