Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Nahisi umechemka mahali mkuu au labda kuna shida ya kimtandao

Mi nililipa sikupata sms ya muamala wa Voda lakini nikapokea email fasta tu

Sijui no zao za customer service
Nahisi ni kweli nimekosea sehemu, kwenye mybux nilivyomaliza process...nikaletewa kulipia kukawa na reference number inaanzia 091m..then namba zikafuata. Baadae nikapokea sms kutoka wallettec wakiniambia kulipia, process ni zilezile nilizoziona mybux ila kwenye ref.namba ikawa tu 091m zile namba hazikuwepo. Nikalipia na nikaweka reference number 091m bila zile namba zingine.
 
Tr
 
Attachments

  • IMG_20190430_185625_096.jpg
    IMG_20190430_185625_096.jpg
    44.3 KB · Views: 32
Nahisi umechemka mahali mkuu au labda kuna shida ya kimtandao

Mi nililipa sikupata sms ya muamala wa Voda lakini nikapokea email fasta tu

Sijui no zao za customer service
Ulitumia mtandao gani ? M-PESA or tigo
 
Kwangu Ref No ilikua 091mxxxxx
Hizo x ni namba

Nadhani hapo ndio iko shida mkuu
Nahisi ni kweli nimekosea sehemu, kwenye mybux nilivyomaliza process...nikaletewa kulipia kukawa na reference number inaanzia 091m..then namba zikafuata. Baadae nikapokea sms kutoka wallettec wakiniambia kulipia, process ni zilezile nilizoziona mybux ila kwenye ref.namba ikawa tu 091m zile namba hazikuwepo. Nikalipia na nikaweka reference number 091m bila zile namba zingine.
 
Nahisi ni kweli nimekosea sehemu, kwenye mybux nilivyomaliza process...nikaletewa kulipia kukawa na reference number inaanzia 091m..then namba zikafuata. Baadae nikapokea sms kutoka wallettec wakiniambia kulipia, process ni zilezile nilizoziona mybux ila kwenye ref.namba ikawa tu 091m zile namba hazikuwepo. Nikalipia na nikaweka reference number 091m bila zile namba zingine.
Hizo reference cdhan kama zina shida maana kweny mybux unaletewa refe ndefu but kweny text ya m lipa unaletewa refer 091m haina shida hama mm niliwahi kulipia kwa hy ya 091m na pesa ikaenda fasta pasipo kuweka ile ndefu. Yawezekana kuna changamoto sehemu fulan tu mkuu ila kama reference haina shida uweke fupi au ndefu zote naamin zinafany kaz tu.
 
Mkuu inaonekana una frustration na stress sana za maisha

Nyie ndio wale mkiguswa kidogo kwenye daladala hayo matusi yake

Take it easy maisha hayataki hasira
We pambana na hali yako tu mkuu
Mkuu,achana naye huyu mjinga.. bila shaka anatafuta pa- kufia.
Binafsi nimemzoea wala hanisumbui kwa lolote.
 
Wakuu mwenye namba ya M-lipa anisaidie, nimetuma hela iende mybux mida ya SAA tano asubuhi ila mpaka sasa sijatumiwa e-mail. Nimewapigia voda wanadai pesa ipo m-lipa. Msaada please.
Me pia imenikuta jioni hii
 
Tottenham Hotspur v Ajax
Brace-NO
Odds 1.2

Al Masry v Wadi Degla
Wadi Degla Handicap 0-2
Odds 1.2

Millwall v Bristol City
Player to score goal at any time
Femara Diedhiou-NO
Odds 1.42

Total Odds 2.0448
 
0657777779
Wakuu mwenye namba ya M-lipa anisaidie, nimetuma hela iende mybux mida ya SAA tano asubuhi ila mpaka sasa sijatumiwa e-mail. Nimewapigia voda wanadai pesa ipo m-lipa. Msaada please.
 
[4/30, 7:50 PM] KING GG: Psg

1st goal

16-30m

4odd

Ⓜ🅰❎
[4/30, 7:50 PM] KING GG: Tottenham

1st goal

16-30m

4odd

Ⓜ🅰❎
 
Tottenham Hotspur v Ajax
Brace-NO
Odds 1.2

Al Masry v Wadi Degla
Wadi Degla Handicap 0-2
Odds 1.2

Millwall v Bristol City
Player to score goal at any time
Femara Diedhiou-NO
Odds 1.42

Total Odds 2.0448
Kila la heri mzee baba wa 2 odds
 
Back
Top Bottom