Respect brother na kesho usitusahauKama ulifuata
Dinner savedView attachment 1094688
[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] muhindi every day ananipa tu matango sijuagi kumuoteaa aisee daah!!
Kivip wakt kashindaAl Ahaly anawatakia usiku mwema
Kivip wakt kashinda
Nimeturbo tu mkeka wangu naye kapata goliAl Ahaly anawatakia usiku mwema
ilikuwa imebaki hii mechi nipige kilo, mpk dkk 95 0-0, nikazima data huku najuta kuweka direct win maana huwa siweki direct win. Muda huu nakuta account imetuna kuangalia goli lilifungwa dkk99.Nimeturbo tu mkeka wangu naye kapata goli
Yaaani roho imeniuma sana, nimekosa 2100
PLAY SINGLE
Cc MayuWakuu mnaotoa kwa biticoins mbona kiwango cha kutoa kinapanda kila Siku?View attachment 1094952