Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hata feynood ile timu alokua anacheza nayo ilikua ina odd mlima
Yani wakati mwingine tunakosa hela kijinga,kutokana na udhaifu wa man u msimu huu ilikuwa inafaa kuipa cardiff kwa leo hata ukipoteza ni sawa ,

Kuliko kuamini pasipo aminika,kwani man u hana matumaini sa ivi pamoja na ARV anazotumia ,yani ni hovyo kabsa.
 
FB_IMG_1557675642442.jpg
FB_IMG_1557674368955.jpg
 
Back
Top Bottom