theriogenology
JF-Expert Member
- Oct 7, 2016
- 8,748
- 15,731
Leo mikeka yangu yote imepasuliwa na timu mbili mbili mkuu..Duuh Odd 200 umetisha sana chief,sema leo haikuwa bahati yko hizi timu za uholanzi hata over 2.5 huwa zinakubali sana na leo timu nyingi za hko zimetema magoli ss sielwi hawa walikuwa wanakwama wapi?
So, sad leo nalala bila hela.

