Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Msaada wadau kwa betpawa mechi ya Torino na sasuollo nimechagua option ya penalt awarded nikaweka (no) sasa nashangaa nimeandikiwa lose alafu tena wameandika to be update mwenye kuelewa wanamanisha nn msaada tafadhili
 
Penalty ilikuwepo kwenye hyo game,sema jamaa alikosa, hvyo umelose mkuu!
 
Vumilia Mkuu itabadilika
Msaada wadau kwa betpawa mechi ya Torino na sasuollo nimechagua option ya penalt awarded nikaweka (no) sasa nashangaa nimeandikiwa lose alafu tena wameandika to be update mwenye kuelewa wanamanisha nn msaada tafadhili
 
Liverpool v Wolves
Each team to have more than 1 corners in each half
Odds 4.7

1Xbet
 
Msaada wadau kwa betpawa mechi ya Torino na sasuollo nimechagua option ya penalt awarded nikaweka (no) sasa nashangaa nimeandikiwa lose alafu tena wameandika to be update mwenye kuelewa wanamanisha nn msaada tafadhili

Hyo option ya no penalty sio nzuri kucheza ligi ya italia ni risky sana!
 
Brighton v Man City
Each team will have at least 1 corner in each half
Odds 2.296

1Xbet
 
Wazee hivi Hawa meridian huwa wanashida gani na server yao how can I log in for more than 10 minutes without any feedback or any prior notice?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…