Mkuu hawa jamaa siwaelewi kabisaa kwanini wana fanya hiviWakuu mnaotoa kwa biticoins mbona kiwango cha kutoa kinapanda kila Siku?View attachment 1094952
Kweli mkuu Jana kuna mda ilikua 79.Mkuu hawa jamaa siwaelewi kabisaa kwanini wana fanya hivi
Mwanzo walipo introduce Mybux walipandisha ghafla kutoka elf20 hadi 72 nikahisi wana discourage watu kutumia bitcoins ili watumie Mybux
Sasa Mybux nayo ipo chali haifanyi kazi lakini bado wanapandisha kiwango cha kutoa
Nasubiri laini yangu ya safaricom hapa
Kwanini mkuu?kwa st
kwa style hii kuwa tajiri kupitia betting ni ngumu sana. mnajifurahisha tuu
Mkuu sidhani kama value change has something to do with itKweli mkuu Jana kuna mda ilikua 79.
Leo morning nataka kutoa 80 nikakuta 85.
Ila nahisi sababu ni kuwa value ya bitcoin inachange within minute.
Mkuu sidhani kama value change has something to do with it
Crypto zingine kuwithdraw hadi sh 400 na most of them haizidi sh 3500, jaribu kubofya utaona
Lakini kwa bitcoins inapanda sana
Mkuu ulizungumzia laini za safaricom, napataje nipo iringa?Ni kweli kabisa mkuu
Wewe kuwa tajiri mzee. Sisi tuache tu hapahapa.kwa st
kwa style hii kuwa tajiri kupitia betting ni ngumu sana. mnajifurahisha tuu
Vp ukitumia MasterCard kuweka na kutoa 1xbet.Mkuu hawa jamaa siwaelewi kabisaa kwanini wana fanya hivi
Mwanzo walipo introduce Mybux walipandisha ghafla kutoka elf20 hadi 72 nikahisi wana discourage watu kutumia bitcoins ili watumie Mybux
Sasa Mybux nayo ipo chali haifanyi kazi lakini bado wanapandisha kiwango cha kutoa
Nasubiri laini yangu ya safaricom hapa
kwa st
kwa style hii kuwa tajiri kupitia betting ni ngumu sana. mnajifurahisha tuu
Vp ukitumia MasterCard kuweka na kutoa 1xbet.
Nataka nianze kutumia njia hii vp wakuu?