Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Union Berlin ov1.5,Derry city wins stake 100k nalala mtanipa tokeo
 
Hakuna group lolote la whatsapp la kubeti lenye kitu kipya yote yale yale watu wanamwaga mamikeka Wanapasuka mnamtukana muhindi shughuli inaishia hapo kesho inaendelea tena! Kujiunga group ukitegemea utakula aisee sahau kabiisa Mentality za watu wa kubeti zinafanana almost everywhere so Be careful bora ubeti wewe mwenyewe bila kumfuata mtu yani hata ukiliwa hakuna wa kumlaumu zaidi yako wewe mwenyew
 
Kiukweli walio wengi na magroup ya what's app ni choka mbaya..hawana lolote! Ni kujisifia tu!
 
Write your reply... Duh, leo nimebet na betpawa nimewakubali sana, hawana cha kukata kodi walanini, ukila mzgo ndio huohuo wote hamna cha makato 18%, na style yao ya malipo ya tgopesa kwa masterpass QR nimewaelewa sana.
 
Bet pawa wapo vzur sana, tatizo lao wanakula mikeka kama barcelona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…