bachelor sugu
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 2,689
- 3,651
Poa mkuu fanya hivyo aisee na mm naweza itafuta hiyo lineDuuu pole sana mkuu,kwa kweli sijawahi kuitumia ila nikiipata nadhani nitarudi hapa jukwaani kutafuta uzi page za nyuma huko kuna mdau aliwahi elekeza namna ya kutumia safaricom,hebu ngja nicheki kuna sehem niliwahi save nakumbuka ngja niangalie nikutumie maelezo